Deuteronomy 16:14-15

14 aMfurahie sikukuu yenu, ninyi, wana wenu, binti zenu, watumishi wenu wa kiume na wa kike, Walawi, wageni, yatima na wajane ambao wanaishi katika miji yenu. 15 bKwa siku saba mtaiadhimisha sikukuu ya Bwana Mwenyezi Mungu wenu katika mahali atakapopachagua Bwana. Kwa kuwa Bwana Mwenyezi Mungu wenu atawabariki katika mavuno yenu na katika kazi zote za mikono yenu na furaha yenu itakamilika.

Copyright information for SwhKC